Wini Feat. Marioo – Ado | Lyrics 2019

Lyrics “Ado” – Wini Feat. Marioo

Penzi lake vita ya kimakonde
Maji iko jiko ya Tanga
Ziweke kwenye kisosi
Ladha kama asali hatari hatari
Tamu, tamu

Mapiko piko nakaanga
Kwenye meza kwenye kochi
Ladha kama asali hatari hatari
Tamu, tamu

Kama utaondoka nitaloose control
Ukiwa mbali nitaloose control
Ju wa zaidi yako mi sina
Wa kuziba pengo lako sina
Mwenzako sielewi cha kale
Ushanichanganya
Changanya

Oooh beiby basi fanya, Ado Ado
Ah nipe kido kido utaniua aah, Ado Ado
Basi fanya kido kido utaniua aah, Ado Ado
Eeh nipe kido kido utaniua baba, Ado Ado
Basi fanya kido kido utaniua aah, Ado Ado

Tatara, tatara..
Tatara, tatara..

Ushanikalia kwa juu
Kwenye kichwa
Upo kwenye ubongo
Hujaniita naitika
Ah nasaka mcongo
Ushanivunja na miguu
Kubanduka
Labda kwa magongo
We jiamini mamacita
Oooh yeah eeh

Basi tuombe mazeze twende masaki
Napata lawama punguzaga miguno
Ooh yeah eeh
Ukiongea nazi usizidishe mikuno
Ooh yeah eeh

Mwenzako sielewi cha kale
Ushanichanganya
Changanya

Oooh beiby basi fanya, Ado Ado
Ah nipe kido kido utaniua aah, Ado Ado
Basi fanya kido kido utaniua aah, Ado Ado
Eeh nipe kido kido utaniua baba, Ado Ado
Basi fanya kido kido utaniua aah, Ado Ado

Ado Ado
Ado Ado
Ado Ado…

➤ Wini | Marioo | 2019


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *