Ruby & Kusah – Nadondosha Lyrics | Official Video
Lyrics “Nadondosha” – Ruby & Kusah
Ooh baba
Siku hizi bila pesa hakuna mahaba
Japo sawa nakaba
Anataa hataki dunju kwangu si haba
Ooh baba
Siku hizi bila pesa hakuna mahaba
Japo sawa nakaba
Leta hataki dunju kwangu si haba
Mi mwenyewe kama nini
Nahitaji unyenyekeo
Yaani mi mzuri kama nini
Nahitaji matunzo
Advertisement
Mwanaume gani unaringia jina
Nyumba huna we hata kiwanja huna
Gari huna hata pikipiki huna
Huh, kaa utaniweza wapi..②
Nadondosha
Dondosha, dondosha, dondosha
Naachia nadondosha
Dondosha, dondosha, dondosha..②
Ya nini nilale mlango wazi
Kati ridhiki si yangu
Mwisho wa siku nipate maradhi
Nilaumu moyo wangu
Mwanamke gani huna dogo
Kila kitu nikikupa una zogo
Hata kama ikikosa kidogo
Huwa unanuna
Advertisement
Jigune vindani kama gogo
Ati hanitaki anataka vigogo
Hata kama nikilete kidogo
Anaguna guna
Mwanamke gani unaringia jina
Mume huna we hata mchumba huna
Busara huna wee hata heshima huna
Dada utanipata wapi..②
Nadondosha
Dondosha, dondosha, dondosha
Naachia nadondosha
Dondosha, dondosha, dondosha..②
Mwanaume gani unaringia jina
Nyumba huna we hata kiwanja huna
Gari huna hata pikipiki huna
Huh, kaa utaniweka wapi
Mwanamke gani unaringia jina
Mume huna we hata mchumba huna
Busara huna wee hata heshima huna
Dada utanipata wapi mie…
➤ Ruby | Kusah | 2019