Rayvanny, Diamond Platnumz – Amaboko Lyrics | Official Video

Lyrics Amaboko – Rayvanny feat. Diamond Platnumz

Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale
Aiii..

Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu
Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu

Totori toto, to..④

Watoto wa bibi
Wanacheza kote mpaka kwenye matope
Wanavua wiggy
Kama wamegombana na Ebitoke

Fanya kama unadukua, Twende sasa
Unanengua, Twende sasa
Unapika napakua, Twende sasa
Chukua, Twende sasa

Nasema popo popo, tunakesha popo
Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe, tunakesha popo
Nasema popo popo, tunakesha popo
Shika pesa tusepe silali mwenyewe, tunakesha popo

Anasasambua, kalewa
Anakibinua, kalewa lewa
Anajichetua, kalewa
Aiyayayaya, kalewa lewa

Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu
Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu

Totori toto, to..④

Asa baby show
Show onyesha alichokupa mama
Baby ko
Komesha usijali lawama

Anaspeedi pidi, Di
Mwendo 4G G G, G
Katoto gwiji gwiji, Ji
Kwenye kujigi jigi, Ji

Eeh venye nyomi, kijiji
Manyoni tigigi
Twende mpaka morning ikibidi
Nizame shimoni, kimbiji

Eeh katoto kana papara
Kupigwa nyembe kipara
Namvutaga masigara
Raaa-rara

Nasema popo popo, tunakesha popo
Tembe za chaukucha na Mondi tulewe, tunakesha popo
Wanangu popo popo, tunakesha popo
Kama akigoma νuta usilale mwenyewe, tunakesha popo

Aiyeye, kimempanda
Ooh kidaruso, kimempanda
Kaisha leo, kimempanda
Nasomba kama fuso, kimempanda

Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu
Amaboko, eeh amaboko
Amagundu, eeh amagundu

Totori toto, to..④

Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale

Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale

Sa chezesha kileso, Kileso
Ah kileso kileso, Kileso
Saa zungusha kileso, Kileso
Eeh kileso kileso, Kileso

Aga ka unakibana kwa kwapa, Kileso
Kilete kwa hapa, Kileso
Kama unarusha natapaa, Kileso
Ehee, swadakta, Kileso…

➤ Written by Rayvanny, Diamond Platnumz
Mix: Lizer Classic
Produced by S2Kizzy
Rayvanny | Diamond Platnumz | 2020

You might also like

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More