Otile Brown – The Way You Are | Lyrics 2020

Lyrics The Way You Are – Otile Brown

Fi di Ladies
Fi di galdems
Aha

Mungu kakuumba vikamilifu yeah
Black beauty umewaka
Mama umewaka
Umbo lako nyembamba yeah yeah
Mbona hata mitumba inakaa
Mbona inakaa

Usijiboosti makalio beiby
Hio ndogo ndo napendaga
Mi napendanga
Chuchu zako ndogo ka tomato
Hio ndogo ndo napendaga
Mama napendaga

Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin
Mi napenda choco
Usijibleach mikorogo
Mikorogo..②

Asiyekupenda ulivyo
Hatokupenda hata ujichubue
Ujichubue
Asiyekupenda ulivyo
Hatokupenda hata ujichubue
Ujichubue

I love you just the way you are
You are
Ooh beiby, you are
Mmmh, you are
I love you just the way you are..②

Mmmh Hio figa yako nyembamba
Ladha ya uchumba
Tukichoshwa kitanda
Anipa hadi kwa ukuta

Huwa nambeba kama mtoto
Mwepesi ka pamba
Zile bingiri bingi za chumbani
Jirani alalama

Kipepeo Darker the berry
Kipepeo Sweeter the juice
Kipepeo Chuchu ndogo ka keli
Ila nanyonya naguza

Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin
Mi napenda choco
Usijibleach mikorogo
Mikorogo..②

Asiyekupenda ulivyo
Oooh beiby
Hatokupenda hata ujichubue
Ujichubue
Asiyekupenda ulivyo
Oooh beiby
Hatokupenda hata ujichubue
Ujichubue

I love you just the way you are
You are
Ooh beiby, you are
Mmmh, you are
I love you just the way you are..②
Ai…

Otile Brown | 2020

You might also like

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More