Otile Brown – Samantha | Lyrics

Lyrics “Samantha” – Otile Brown

Teddy B..
Mmmh.. mhhh..
Rangi ya mtome ndo bei
Rangi ya mtome ndo bei
Ngozi yake laini, hmmhhh

Kiuno chake cha kipekee
Kiuno chake cha kipekee
Yaani figa nane kamili
Hmmhhh

Tena magari yanabishana kwao
Usiku na mchana
Washika dau na wasanifu oooho
Mimi namlaumu mama, yako
Ulo ridhi matatizo
Uzuri wako swaserii
Ooooh hmmmhh

Samantha, Samantha
Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu
Samantha oooh beiby

Hey nilipokuona
Nilijua wewe ndo wangu
Wala macho yangu hayakunidanganya, hmmh
Sasa nisipokuona kama ninakosa kanisa
Naogopa utanipora

Samahani kama
Nakuhukumu vibaya
My beiby, ni kwa sababu nakupenda
Na najua unanipenda
Tatizo wivu ninao
Mmmh beiby, basi tusonge lala

Hakika ulivyojaza hilo tattoo
Mimi macho kondo
Utuapo madem hawakai
Basi nipige game hadi ufurahi
Wewe kiboko versuri.online
Mwalimu wako fundi hatari

Samantha, Samantha
Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu
Samantha oooh beiby

Samantha, Samantha
Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu
Samantha oooh beiby

Badman girl show me badman thing
Badman girl show me badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl show me badman thing…

➤ Otile Brown 2018

You might also like

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More