Nandy – Hazipo (Lyrics | Video)

Lyrics “Hazipo” performed by Nandy

Uzuri wako mashallah
Na macho yako ndo balaah
Sauti yako noma sana
Na mwendo wako ndo balaah

Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani..②

Me hazipo (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)
Akili me hazipo bwana (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)
Aaaah aah eeeh yeeee iye iyeye

Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba ah aah
Sijitamani, nifikirie sana aaaah versuri.online
Usinipe maruani me moyo utaamaa aaah
Na mashetani yanapenda kwa manaa aaah

Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani..②

Me hazipo (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)
Akili me hazipo bwana (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)

Takuwa sina bahati
Ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba
Ukieka nazi hatari mzigo..②

Jaribu kuwa smart
Nipe mahabati tu japo kidogo
Mie wazimu baba
Kichwani mwangu mwenzio hazipo

Mwenzio mie hazipo (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)
Akili me hazipo bwana (hazipooo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipooo)
Oooh yeeah
Hazipoo ooh yeeea
Hazipoo ooh oh yeeea…

➤ Written by Jay Melody
Album: The African Princess
Produced by RingTone Beats
Nandy 2019

Search Nandy, The African Princess, on music store


This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept