Mbosso – Maajab | Lyrics Audio 2019

Lyrics “Maajab” – Mbosso

Nah-nah-nah, nah..
Naah-nah-nah, nah..

Hii mara kashikilia
Mwache avimbe bichwa
Walahi kanipatia
Anastahili sifa

Chumba kizima chanukia
Uturi kajifisha
Vidole nasimamia
Ukingoni nafikishwa

Ananikosha mwili
Kwa maji ya madafu
Yeye ndo kocha
Na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri
Kwa mafuta ya karafu
Nikichoka, ananikanda
Kwa kwa mabarafu

Maajab, maajab
Penzi lake la ajabu
Maajab, maajab
Mahaba yake ya ajabu..②

Kifuani hunipaka harua
Mikono tende andazi chambua
Anilamba

Kitandani humwaga maua
Mengine hata chembe sikua najua
Anitoa ushamba, ooh

Na nitake nini kwake
Niombe nisipewe
Iwe pemba mama chake chake
Nichague mwenyewe
Kanipa pombe roho yake
Ninywe nilewe
Mambo sheghani mwake mwake
Mangaka mzewe

Libandike
Penzi kama gazeti walisome
Tuwa adabishe
Zangara shombo vipetty, tuwangoe
Nikila nilishe
Chapati za alizeti ninone
Tuwafungishe versuri.online
Midomo uzi simenti tuwashone

Ananikosha mwili
Kwa maji ya madafu
Yeye ndo kocha
Na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri
Kwa mafuta ya karafu
Nikichoka, ananikanda
Kwa kwa mabarafu

Maajab, maajab
Penzi lake la ajabu
Maajab, maajab
Mahaba yake ya ajabu..②

Halua halua
Hunipa vitamu laini laini
Halua halua
Kinyama cha hamu
Uhondo utosini

Halua halua
Sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi
Halua halua
Napewa hadi vya miiko
Sa nitake nini…

➤ Written by Mbosso
Produced by Mocco Genius & Lizer Classic
Mbosso | 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × 2 =