Mbosso – Hodari (Official Video Music)
Lyrics “Hodari” by Mbosso
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawaka waka, aaah
Wanga wape vidonge nimebaini baini
Wanatapa tapa, aaah
Uhmm, mina nawe mpaka kiama tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame wimaa
Kamwe watopata mwanya habithi fitina
Wavige mabiringanya si tutoke diner
Nalegeaa ukinitazama yako macho
Yako macho, oh
Nalegeaa ikigusana yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodari
Hodari wa mapenzi
Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri
Kuniwasha kama pilipili
Fundi haswa amekithiri
Hunipa nilewe
Kwasa kwasa ndani pingili
Za kukata saga ka chili
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe
Nichezeshe kidaru sosi usiku wa mananee
Nikande kipanda uso tufunikane
Nitishe boda la huko tukakutane
Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka
Nalegeaa ukinitazama yako macho
Yako macho, oh versuri.online
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodari
Hodari wa mapenzi
Wema sepetu hodari
Hodari wa mapenzi
Uwoya hodarii
Hodari wa mapenzi
Mama Cookie hodarii
Hodari wa mapenzi
Mama Dangote hodarii
Hodari wa mapenzi
Jack Wolper hodari
Hodari wa mapenzi
Zari mama Tiffa hodari
Hodari wa mapenzi
Ohesmakan hodari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth Micheal Hodari
Hodari wa mapenzi…
➤ Mbosso 2018