Marioo – Manyaku (Lyrics | Video)

Lyrics “Manyaku” by Marioo

Blaq, Blaq Beat
They call me Toto Bad
Sir God Kauba Kapatia
Hana Dosari Ana vutia
Sebure kwa chumba kajazia
Lahda asali ana natia

Akitupia ana pendeza kama mdori
Lips colour mpaka raha kama kachori
Namba D car hajatembezwa bado kigori
Kama kungu kala, mpaka raha
Jicho goroli

Kama samaki sangara
Hiyo miyo mikogo
Manyaku kama nawaona
Nimacho kodo mieee

Akini touch, touch
Moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki
Akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Wapo watao sema hunifai
Ili wakuchukue
Vaniachie majanga
Penzi  wa chakachue
Watakodi madinga ma tai
Ili wakuzuzue

Wajitie waganga
Penzi waligangue
Ujasiri sina wa kuvumilie
Unapo amizwaa
Huo moyo sina
Nikizama kina mpaka

Kama samaki sangara
Hiyo miyo mikogo
Manyaku kama nawaona
Nimacho kodo mieee

Akini touch, touch
Moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki
Akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Manyaku-nyaku
Manyaku-nyaku
Manyaku-nyaku
Manyaku-nyaku…

➤ Produced by Blaq Beat
Mix & Master: Young Keyz
Marioo 2018

Marioo, on music store


This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More

you're currently offline