Ethic Entertainment – Figa Lyrics | 2019

Lyrics “Figa” – Ethic Entertainment

Kwanza venye ume jibebanga
Me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai
Me udai me upenda na penda

Figa fire yaani dangerous me udai
Me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai
Me udai me upenda na penda
Me upenda na penda

Ringi ndani ya goro
Alafu akue solo
Kwanza akiwa momo
Buda namchongoa
Macho zako ndogo chongo
Lamba mboko mpaka usogo
Dem akiwa campo anastone proper
Alafu akiwa vajo anadondosa
Pale downtown anadondosa
Pale down pale down kudondosa

Kwanza venye ume jibebanga
Me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai
Me udai me upenda na penda

Figa fire yaani dangerous me udai
Me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai
Me udai me upenda na penda
Me upenda na penda

Niko kidali hio shamba ntachuna mboga
Lejo jaza kwa chupa ya Johnnie Walker
Nina taki ya mayeng huna rieng
Nazichuna Kama Cheng
Uku nyanda upigwa mboka
Kukumanga kwa tool zangu za mogoka
Akuna panya so paka atakula nyoka
Kwa kichaka kitanda riko na sofa
Chapa Chapa ukichapa naachia bro man

Kwanza venye ume jibebanga
Me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai
Me udai me upenda na penda

Figa fire yaani dangerous me udai
Me udai me upenda na penda
Fanya na feel kama veteran me udai
Me udai me upenda na penda
Me upenda na penda

Kwa mbulu luku washa kindukulu
Kam tu kejani nkupigeh maviboko
Pale Instagram ndachachisha na Kimboto
Venye nawatesa me napenda ma goko
Mangoto Malocal ziko kwa mbosho
Orosho madiva zimebundi na ni koro
Kulamba muroro fika ndono juu ya koto
Vurugu kukaba kwa kila Mauru

Kwanza venye ume jibebanga
Me udai me udai me upenda na penda
Tako venye we ui chezanga me udai
Me udai me upenda na penda

Figa fire yaani dangerous me udai
Me udai me upenda na penda
Fanya na feel Kama veteran me udai
Me udai me upenda na penda
Me upenda na penda…

➤ Ethic Entertainment | 2019

You might also like

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More