Dully Sykes feat. Harmonize – Kadamshi (Lyrics | Video)

Lyrics “Kadamshi” / Dully Sykes feat. Harmonize

Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi..②

Singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma..
Aah, singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma..

Pande za nyumbani
Wanajuaga bebe ni nani
Akipita anatingisha
Wangu toka zamani
Kanzu tobo kama zidan
Chenga nyingi ntafungisha
Kanawaka gizani
Nakapata mpaka mezani
Kote kote napigisha
Baby wata gwan
Katoto ketu kapo njiani
Uhakika miezi tisa

Oohoo ah eh
Wakiniita buzi nichune
Tena ringa kidogo
Oohoo ah eh
Wapiga miluzi wanune
Ongeza mbwebwe mikogo..②

Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi..②

Singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma..
Aah, singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma..

Nyuka upendeze, vunja kabatii (aaha eeeh)
Inuka na ucheze, wakuone wachat (aaha eeeh)
Nlalie kifuani baby deka
Usikie moyo wangu vile unavyo teta
Nikikupa mambo flani unaacheka
Kasauti kachumbani unaabweka

Lala kifuani baby deka
Usikie moyo wangu vile unavyoteta
Nikikupa mambo flani unaacheka
Kasauti kachumbani unaacheka
So let me say

Oohoo ah eh
Wakiniita buzi nichune
Tena ringa kidogo
Oohoo ah eh
Wapiga miluzi wanune
Ongeza mbwebwe mikogo

Oohoo ah eh
Wakiniita buzi nichune
Tena ringa kidogo
Oohoo ah eh
Wapiga miluzi wanune

Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi..②

Singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma..
Aah, singida Dodoma mma mma mma..
Mtwara na Kigoma mma mma mma…

Dully Sykes | Harmonize | 2018

Search Dully Sykes, Harmonize, on music store


This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept