Billnass feat. Nandy – Bugana | Lyrics 2019

Lyrics “Bugana” – Billnass feat. Nandy

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Unyonge tai
Alafu mfukoni mambo mbaya
Hawatudai yeah yeah yeah
Hata wavujishe picha mbaya

Wakuite babu
Nami waniite bibi wa tujukuu
OOh yeah, washike adabu
Washindwe na walegee eeh

Unanisitiria nipate niumbuke
Wawili tuwe chumbani mpaka ipasuke
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mimi nina bugana
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mimi nina bugana

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Tupo low key na tuna keys kwenye dinga
Vile tubaboss sema O tunavimba
Uko pro chill, kuwa hot ka nawinda
Hadi nikawa naimba zile ahadi ukawa umevimba

Leo bugana limerudi kwao
Tuko na shida zetu na wala si kwao
Husband material ikikubao
Imeshafika posta bado kikao

Hata iweje, hata iweje
Mimi ni wako tu
Na hata iweje, hata iweje
Nitabaki kwako tu

Kama ni Gucci, Dolce Gabana
Acha mi, naweza kupambana
Kama ni pesa wanasaka ile sana
Sana mama, sana sana

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Unanipa taabu ya kufanya nilewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa..④…

➤ Billnass | Nandy | 2019